YouVersion Logo
Search Icon

Luka 6:27-28

Luka 6:27-28 TKU

Lakini ninawaambia ninyi mnaonisikiliza, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wale wanaowachukia. Mwombeni Mungu awabariki wale wanaowalaani ninyi, waombeeni wale wanaowaonea.

Verse Images for Luka 6:27-28

Luka 6:27-28 - Lakini ninawaambia ninyi mnaonisikiliza, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wale wanaowachukia. Mwombeni Mungu awabariki wale wanaowalaani ninyi, waombeeni wale wanaowaonea.Luka 6:27-28 - Lakini ninawaambia ninyi mnaonisikiliza, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wale wanaowachukia. Mwombeni Mungu awabariki wale wanaowalaani ninyi, waombeeni wale wanaowaonea.

Free Reading Plans and Devotionals related to Luka 6:27-28