YouVersion Logo
Search Icon

Yohana 2:7-8

Yohana 2:7-8 TKU

Yesu akawaambia wale wahudumu, “Ijazeni maji hiyo mitungi.” Nao wakaijaza maji mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kiasi na mumpelekee mkuu wa sherehe.” Nao wakafanya kama walivyoambiwa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Yohana 2:7-8