YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 12:14-15

Warumi 12:14-15 SRUV

Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani. Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.