YouVersion Logo
Search Icon

Malaki 3:17-18

Malaki 3:17-18 SRUV

Nao watakuwa wangu, asema BWANA wa majeshi, katika siku ile niifanyayo; naam, watakuwa hazina yangu hasa; nami nitawaachilia, kama vile mtu amwachiliavyo mwanawe mwenyewe amtumikiaye. Ndipo mtakaporudi, nanyi mtapambanua kati ya wenye haki na waovu, kati ya yeye amtumikiaye Mungu na yeye asiyemtumikia.

Video for Malaki 3:17-18

Free Reading Plans and Devotionals related to Malaki 3:17-18