YouVersion Logo
Search Icon

Waraka kwa Waebrania 7:26

Waraka kwa Waebrania 7:26 SRUV

Maana ilitupasa sisi tuwe na kuhani mkuu wa namna hii aliye mtakatifu, asiyekuwa na uovu, asiyekuwa na waa lolote, aliyetengwa na wakosaji, aliyekuwa juu kuliko mbingu