YouVersion Logo
Search Icon

1 Timotheo 2:6-7

1 Timotheo 2:6-7 SRUV

ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake. Nami kwa ajili ya huo niliwekwa niwe mhubiri na mtume, (nasema kweli, sisemi uongo), mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli.

Verse Image for 1 Timotheo 2:6-7

1 Timotheo 2:6-7 - ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake. Nami kwa ajili ya huo niliwekwa niwe mhubiri na mtume, (nasema kweli, sisemi uongo), mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Timotheo 2:6-7