YouVersion Logo
Search Icon

1 Samweli 28:5-6

1 Samweli 28:5-6 SRUV

Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana. Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Samweli 28:5-6