YouVersion Logo
Search Icon

Tit 2:7-8

Tit 2:7-8 SUV

katika mambo yote ukijionyesha wewe mwenyewe kuwa kielelezo cha matendo mema, na katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahivu, na maneno yenye uzima yasiyoweza kuhukumiwa makosa, ili yule mwenye kupinga atahayarike, kwa kuwa hana neno baya la kunena juu yetu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Tit 2:7-8