YouVersion Logo
Search Icon

Rum 6:17-18

Rum 6:17-18 SUV

Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake; na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mkawa watumwa wa haki.

Free Reading Plans and Devotionals related to Rum 6:17-18