YouVersion Logo
Search Icon

Zab 103:3-5

Zab 103:3-5 SUV

Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema, Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai

Free Reading Plans and Devotionals related to Zab 103:3-5