YouVersion Logo
Search Icon

Mk 8:1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21

Mk 8:2 SUV

Nawahurumia mkutano kwa sababu yapata siku tatu wamekaa nami, wala hawana kitu cha kula

Mk 8:4 SUV

Wanafunzi wake wakamjibu, Je! Ataweza wapi mtu kuwashibisha hawa mikate hapa nyikani?

Mk 8:5 SUV

Akawauliza, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba

Mk 8:7 SUV

Walikuwa na visamaki vichache; akavibarikia, akasema wawaandikie na hivyo pia.

Mk 8:9 SUV

Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.

Mk 8:10 SUV

Mara akapanda chomboni pamoja na wanafunzi wake, akaenda pande za Dalmanutha.

Mk 8:13 SUV

Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hata ng’ambo.

Mk 8:14 SUV

Wakasahau kuchukua mikate, wala chomboni hawana ila mkate mmoja tu.

Mk 8:15 SUV

Akawaagiza, akasema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.

Mk 8:16 SUV

Wakabishana wao kwa wao, kwa kuwa hawana mikate.

Mk 8:18 SUV

Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki?

Mk 8:20 SUV

Na ile saba kuwapa wale elfu nne, mlichukua makanda mangapi yamejaa vipande? Wakamwambia, Saba.

Mk 8:21 SUV

Akawaambia, Hamjafahamu bado?

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy