YouVersion Logo
Search Icon

Mk 7:1, 2, 3, 4, 5, 6, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30

Mk 7:1 SUV

Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake

Mk 7:2 SUV

wakaona wengine katika wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najisi, yaani, isiyonawiwa.

Mk 7:8 SUV

Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

Mk 7:9 SUV

Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

Mk 7:12 SUV

wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye

Mk 7:14 SUV

Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.

Mk 7:16 SUV

Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.]

Mk 7:17 SUV

Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano.

Mk 7:20 SUV

Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.

Mk 7:21 SUV

Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati

Mk 7:22 SUV

wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.

Mk 7:23 SUV

Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.

Mk 7:29 SUV

Akamwambia, Kwa sababu ya neno hilo, enenda zako, pepo amemtoka binti yako.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy