YouVersion Logo
Search Icon

Mk 4:1, 2, 3, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34

Mk 4:2 SUV

Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake

Mk 4:3 SUV

Sikilizeni; Tazama, mpanzi alitoka kwenda kupanda

Mk 4:6 SUV

hata jua lilipozuka iliungua, na kwa kuwa haina mizizi ikanyauka.

Mk 4:7 SUV

Nyingine ikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea ikaisonga, isizae matunda.

Mk 4:9 SUV

Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.

Mk 4:13 SUV

Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje?

Mk 4:14 SUV

Mpanzi huyo hulipanda neno.

Mk 4:18 SUV

Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno

Mk 4:23 SUV

Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.

Mk 4:25 SUV

Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.

Mk 4:26 SUV

Akasema, Ufalme wa Mungu, mfano wake ni kama mtu aliyemwaga mbegu juu ya nchi

Mk 4:27 SUV

akawa akilala na kuondoka, usiku na mchana, nayo mbegu ikamea na kukua, asivyojua yeye.

Mk 4:28 SUV

Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke.

Mk 4:29 SUV

Hata matunda yakiiva, mara atapeleka mundu, kwa kuwa mavuno yamefika.

Mk 4:30 SUV

Akasema, Tuulinganishe na nini ufalme wa Mungu? Au tuutie katika mfano gani?

Mk 4:33 SUV

Kwa mifano mingi ya namna hii alikuwa akisema nao neno lake, kwa kadiri walivyoweza kulisikia

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy