YouVersion Logo
Search Icon

Mk 1:21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42, 43, 44, 45

Mk 1:21 SUV

Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.

Mk 1:23 SUV

Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti

Mk 1:24 SUV

akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

Mk 1:25 SUV

Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.

Mk 1:26 SUV

Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.

Mk 1:28 SUV

Habari zake zikaenea mara kotekote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.

Mk 1:31 SUV

Akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawatumikia.

Mk 1:33 SUV

Na mji wote ulikuwa umekusanyika mlangoni.

Mk 1:36 SUV

Simoni na wenziwe wakamfuata

Mk 1:37 SUV

nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.

Mk 1:39 SUV

Akaenda akihubiri katika masinagogi yao, katika nchi yote ya Galilaya, na kutoa pepo.

Mk 1:41 SUV

Naye akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.

Mk 1:42 SUV

Na mara ukoma wake ukamtoka, akatakasika.

Mk 1:43 SUV

Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy