YouVersion Logo
Search Icon

Mt 9:10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26

Mt 9:12 SUV

Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

Mt 9:19 SUV

Akaondoka Yesu, akamfuata, pamoja na wanafunzi wake.

Mt 9:21 SUV

Kwa maana alisema moyoni mwake, Nikigusa tu upindo wa vazi lake nitapona.

Mt 9:23 SUV

Yesu alipofika nyumbani kwa yule jumbe, aliona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo

Mt 9:24 SUV

akawaambia, Ondokeni; kwa maana kijana hakufa, amelala tu. Wakamcheka sana.

Mt 9:25 SUV

Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule kijana akasimama.

Mt 9:26 SUV

Zikaenea habari hizi katika nchi ile yote.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy