YouVersion Logo
Search Icon

Mt 8:1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22

Mt 8:1 SUV

Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.

Mt 8:2 SUV

Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

Mt 8:3 SUV

Yesu akanyosha mkono, akamgusa, akisema Nataka; takasika. Na mara ukoma wake ukatakasika.

Mt 8:5 SUV

Hata alipoingia Kapernaumu, akida mmoja alimjia

Mt 8:6 SUV

akamsihi, akisema, Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza, anaumwa sana.

Mt 8:7 SUV

Yesu akamwambia, Nitakuja, nimponye.

Mt 8:12 SUV

bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Mt 8:15 SUV

Akamgusa mkono, homa ikamwacha; naye akaondoka, akawatumikia.

Mt 8:18 SUV

Naye Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, aliamuru kuvuka kwenda ng’ambo.

Mt 8:19 SUV

Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.

Mt 8:22 SUV

Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy