YouVersion Logo
Search Icon

Mt 11:1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24

Mt 11:2 SUV

Naye Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wanafunzi wake, kumwuliza

Mt 11:3 SUV

Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?

Mt 11:4 SUV

Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona

Mt 11:6 SUV

Naye heri awaye yote asiyechukizwa nami.

Mt 11:9 SUV

Lakini kwa nini mlitoka? Ni kuona nabii? Naam, nawaambia, na aliye mkuu zaidi ya nabii.

Mt 11:13 SUV

Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.

Mt 11:14 SUV

Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.

Mt 11:15 SUV

Mwenye masikio, na asikie.

Mt 11:17 SUV

Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.

Mt 11:18 SUV

Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy