YouVersion Logo
Search Icon

Mt 10:1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 11, 12, 13, 14, 15

Mt 10:3 SUV

Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Thadayo

Mt 10:4 SUV

Simoni Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti.

Mt 10:6 SUV

Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mt 10:7 SUV

Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia.

Mt 10:8 SUV

Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.

Mt 10:9 SUV

Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu

Mt 10:12 SUV

Nanyi mkiingia katika nyumba isalimuni.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy