YouVersion Logo
Search Icon

Mt 1:2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17

Mt 1:2 SUV

Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake

Mt 1:3 SUV

Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu

Mt 1:4 SUV

Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni

Mt 1:5 SUV

Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese

Mt 1:6 SUV

Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria

Mt 1:7 SUV

Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa

Mt 1:8 SUV

Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia

Mt 1:9 SUV

Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia

Mt 1:10 SUV

Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia

Mt 1:11 SUV

Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.

Mt 1:12 SUV

Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli

Mt 1:13 SUV

Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori

Mt 1:14 SUV

Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi

Mt 1:15 SUV

Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo

Mt 1:16 SUV

Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy