Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli
Read Lk 3
Share
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Compare All Versions: Lk 3:23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38
Save verses, read offline, watch teaching clips, and more!
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos