YouVersion Logo
Search Icon

Lk 2:22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40

Lk 2:28 SUV

yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema

Lk 2:29 SUV

Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema

Lk 2:30 SUV

Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako

Lk 2:31 SUV

Uliouweka tayari machoni pa watu wote

Lk 2:32 SUV

Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Lk 2:33 SUV

Na babaye na mamaye walikuwa wakiyastaajabia hayo yaliyonenwa juu yake.

Lk 2:35 SUV

Nawe mwenyewe, upanga utaingia moyoni mwako, ili yafunuliwe mawazo ya mioyo mingi.

Lk 2:40 SUV

Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy