YouVersion Logo
Search Icon

Yn 6:1, 2, 3, 4, 5, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15

Yn 6:1 SUV

Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng’ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia.

Yn 6:2 SUV

Na mkutano mkuu wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.

Yn 6:3 SUV

Naye Yesu akakwea mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.

Yn 6:4 SUV

Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu.

Yn 6:7 SUV

Filipo akamjibu, Mikate ya dinari mia mbili haiwatoshi, kila mmoja apate kidogo tu.

Yn 6:8 SUV

Wanafunzi wake mmojawapo, Andrea, nduguye Simoni Petro, akamwambia

Yn 6:12 SUV

Nao waliposhiba, aliwaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kisipotee cho chote.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy