YouVersion Logo
Search Icon

Eze 2:2-3

Eze 2:2-3 SUV

Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami. Akaniambia, Mwanadamu, nakutuma kwa wana wa Israeli, kwa mataifa wanaoasi, walioniasi mimi; wao na baba zao wamekosa juu yangu, naam, hata hivi leo.

Free Reading Plans and Devotionals related to Eze 2:2-3