YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 16:18

Warumi 16:18 NENO

Kwa maana watu kama hao hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali wanatumikia tamaa zao wenyewe. Kwa kutumia maneno laini na ya kubembeleza, hupotosha mioyo ya watu wajinga.