YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 91:9-10

Zaburi 91:9-10 NENO

Ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako; naam, BWANA ambaye ni kimbilio langu; basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yatalikaribia hema lako.