YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 106:4-5

Zaburi 106:4-5 NENO

Ee BWANA, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, uwe msaada wangu unapowaokoa, ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Zaburi 106:4-5