YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 6:10-11

Mithali 6:10-11 NEN

Kulala kidogo, kusinzia kidogo, kukunja mikono kidogo upate kupumzika: umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.