Mithali 31:25-26
Mithali 31:25-26 NENO
Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Huzungumza kwa hekima, na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.