Mithali 3:11-12
Mithali 3:11-12 NEN
Mwanangu, usidharau adhabu ya BWANA na usichukie maonyo yake, kwa sababu BWANA huwaadibisha wale anaowapenda, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.