YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 17:17-18

Mathayo 17:17-18 NEN

Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi hadi lini? Nitawavumilia hadi lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.” Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona tangu saa hiyo.