YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 16:15-16

Mathayo 16:15-16 NEN

Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”