Yohana 7:1
Yohana 7:1 NENO
Baada ya mambo haya, Yesu alienda sehemu mbalimbali za Galilaya. Hakutaka kwenda Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi huko walitaka kumuua.