YouVersion Logo
Search Icon

Isaya 58:13

Isaya 58:13 NEN

“Ukitunza miguu yako isivunje Sabato, na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, ukiita Sabato siku ya furaha na siku takatifu ya BWANA ya kuheshimiwa, kama utaiheshimu kwa kutoenenda katika njia zako mwenyewe, na kutokufanya yakupendezayo au kusema maneno ya upuzi