YouVersion Logo
Search Icon

Isaya 58:10

Isaya 58:10 NENO

nanyi mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu na kutosheleza mahitaji ya waliodhulumiwa, ndipo nuru yenu itangʼaa gizani, nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri.