YouVersion Logo
Search Icon

Isaya 43:1

Isaya 43:1 NENO

Lakini sasa hili ndilo asemalo BWANA, yeye aliyekuumba, ee Yakobo, yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: “Usiogope kwa maana nimekukomboa, nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu.

Video for Isaya 43:1

Free Reading Plans and Devotionals related to Isaya 43:1