YouVersion Logo
Search Icon

Waebrania 11:5

Waebrania 11:5 NEN

Kwa imani Henoko alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, “kwa sababu Mungu alimchukua”. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Waebrania 11:5