YouVersion Logo
Search Icon

Habakuki 1:3

Habakuki 1:3 NENO

Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma? Kwa nini unavumilia makosa? Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu; kuna mabishano na mapambano kwa wingi.

Video for Habakuki 1:3