YouVersion Logo
Search Icon

Kutoka 11:1

Kutoka 11:1 NEN

Basi BWANA alikuwa amemwambia Musa, “Nitaleta pigo moja zaidi kwa Farao na katika nchi ya Misri. Baada ya hilo, atawaacha mwondoke hapa na atakapofanya hivyo, atawafukuza mtoke kabisa.