YouVersion Logo
Search Icon

Waefeso 4:11-13

Waefeso 4:11-13 NENO

Ndiye aliweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na walimu, kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi za huduma, ili mwili wa Kristo upate kujengwa hadi sote tutakapoufikia umoja katika imani na katika kumjua Mwana wa Mungu na kuwa watu wazima, kwa kufikia kimo cha ukamilifu wa Kristo.

Free Reading Plans and Devotionals related to Waefeso 4:11-13