Kumbukumbu 33:7
Kumbukumbu 33:7 NENO
Akasema hili kuhusu Yuda: “Ee BWANA, sikia kilio cha Yuda, mlete kwa watu wake. Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. Naam, uwe msaada wake dhidi ya adui zake!”