Amosi 4:13
Amosi 4:13 NENO
Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: BWANA Mungu wa majeshi ndilo jina lake.