YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 9:4-5

Matendo 9:4-5 NEN

Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.