YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 26:17-18

Matendo 26:17-18 NEN

Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao, uyafumbue macho yao ili wageuke kutoka gizani waingie nuruni, na kutoka kwa nguvu za Shetani wamgeukie Mungu, ili wapate msamaha wa dhambi na sehemu miongoni mwa wale waliotakaswa kwa kuniamini mimi.’

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 26:17-18