YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 19:11-12

Matendo 19:11-12 NEN

Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kupitia kwa Paulo, hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 19:11-12