1
Zaburi 59:16
Biblia Habari Njema
BHN
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako; nitashangilia asubuhi juu ya fadhili zako; maana wewe umekuwa ngome yangu na kimbilio langu wakati wa taabu.
Compare
Explore Zaburi 59:16
2
Zaburi 59:17
Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili!
Explore Zaburi 59:17
3
Zaburi 59:9-10
Nitakungoja, ewe uliye nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, u ngome yangu. Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa.
Explore Zaburi 59:9-10
4
Zaburi 59:1
Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia.
Explore Zaburi 59:1