1
Hesabu 23:19
Biblia Habari Njema
BHN
Mungu si mtu, aseme uongo, wala si binadamu, abadili nia yake! Je, ataahidi kitu na asikifanye, au kusema kitu asikitimize?
Compare
Explore Hesabu 23:19
2
Hesabu 23:23
Hakika ulozi hauwezi kuwapinga watu wa Yakobo, wala uchawi dhidi ya watu wa Israeli. Sasa kuhusu Israeli, watu watasema, ‘Tazameni maajabu aliyotenda Mungu!’
Explore Hesabu 23:23
3
Hesabu 23:20
Tazama, nimepewa amri ya kubariki, naye amebariki wala siwezi kuitangua.
Explore Hesabu 23:20