1
Yobu 11:18
Biblia Habari Njema
BHN
Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
Compare
Explore Yobu 11:18
2
Yobu 11:13-15
“Yobu, ukiufanya moyo wako mnyofu, utainua mikono yako kumwomba Mungu! Kama una uovu, utupilie mbali. Usikubali ubaya uwemo nyumbani mwako. Hapo utajitokeza mbele ya watu bila lawama, utakuwa thabiti bila kuwa na hofu.
Explore Yobu 11:13-15
3
Yobu 11:16-17
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita. Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.
Explore Yobu 11:16-17