1
Kumbukumbu la Sheria 24:16
Biblia Habari Njema
BHN
“Wazazi wasiuawe kwa makosa ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya makosa ya wazazi wao. Kila mtu atauawa kwa makosa yake mwenyewe.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 24:16
2
Kumbukumbu la Sheria 24:5
“Mwanamume aliyeoa karibuni asiende vitani wala asipewe kazi yoyote nyingine; aachwe huru kwa muda wa mwaka mmoja, ili akae nyumbani na kufurahi na mkewe.
Explore Kumbukumbu la Sheria 24:5