1
1 Timotheo 5:8
Biblia Habari Njema
BHN
Lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.
Compare
Explore 1 Timotheo 5:8
2
1 Timotheo 5:1
Usimkemee mwanamume mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana wa kiume kama ndugu zako
Explore 1 Timotheo 5:1
3
1 Timotheo 5:17
Viongozi wa kanisa wanaowaongoza watu vizuri wanastahili kupata riziki maradufu, hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.
Explore 1 Timotheo 5:17
4
1 Timotheo 5:22
Usiharakishe kumwekea mtu yeyote mikono kwa ajili ya kumtumikia Bwana. Usishiriki dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.
Explore 1 Timotheo 5:22