1
Zaburi 150:6
Biblia Habari Njema
BHND
Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Compare
Explore Zaburi 150:6
2
Zaburi 150:1
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu.
Explore Zaburi 150:1
3
Zaburi 150:2
Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu wake mkuu.
Explore Zaburi 150:2